Ray Kigosi nampongeza sana kwa kuhakikisha anakua na mwili wa star, yani sio minyama uzembe na kitambi, zamani alikua kibonge sana lakini hivi sasa Ray kajipunguza na ni jambo la kumpa pongezi, tunae katoto ketu ka bongo movie LULU, nasema katoto kwasababu ni kweli katoto ka miaka kumi na nane tu japo mambo yake makubwa, ka Lulu bwana na kenyewe kameamua kuachana na ulaji mbovu na uvivu kameamua kuingia gym ili kawe na mwonekano mzuri na afya bora.
LULU
LULU (hapo katika mambo ya selfie)
RAY KIGOSI
Na hapa chini ni picha ya Ray baada ya kupungua
No comments:
Post a Comment