Jana niliwaletea post inayohusu kifo cha muigizajii mahili wa Marekani Paul Walker, aliyekufa kwa ajali ya ggari kugonga mti na kuungua moto, hizi picha hapo juu zinamuonyesha muigizaji mwenzie na marehemu Paul anayeitwa TYRESE GIBSON ambaye wamekua na urafiki na marehemu kwa miaka 13 sasa akilia huku akiwa na ua la njano kwenye eneo ambalo gari liliungua moto na rafikiye kupoteza maisha,
No comments:
Post a Comment