Muigizaji wa movie ya TEMPTATION Diamond platnumz alitoa kali ya mwaka alipovaa sketi nyeusi jukwaani, muigizaji huyu ambaye ni mkali wa fashion, aliamua kuongeza makali yake kwenye fashion kwa kuvaa sururali na sketi kwa juu, watu waliokuwepo karibu nae walisikika wakisema sasa hivi huko tunakoelekea Diamond atatupandia jukwaani na DERA.
DIAMOND
1 comment:
hahahahhhaha hio kali kweli kweli
Post a Comment