Monday, December 1, 2014

KWA WALE MLIOKOSA KUTAZAMA PICHA ZA DIAMOND AKIWA ANAJIZOLEA MATUZO YA CHANEL KULE SOUTH AFRICA INGIA HAPA

                               HIZI NDO TUZO 3 ALIZOCHUKUA MNYAMA DIAMOND


                                        MA MEEN CHIBU DANGOTE U KNOW


                   CHIBU AKIWA NA MAMA YAKE, BI SANDRA ALIKUWA KAMA MSCHANA
                                   
    CHIBU AKIWA NA LE TAMKOZ U KNOW (ZARI) WAKIENDELEA NA LE BIG PROJECT


CHIBU AKIWA NA MAMA YAKE KIPENZI NA ZARI MPENZI WAKE WA SASA.
WAZEE WA KAZI HAPO CHINI,  HII NDIO MANAGEMENT YA CHIBU

WAKIWA WAMESHALAMBA TUZO ZAO SASA WANAKISEPESHA KUENDELEZA PROJECT


             ZARI NA MAMA DIAMOND


CHIBU BAADA YA KUPOKEA TUZO HAPO NI ANAGOGA YAI TU MTOTO WA TANDALE


HAPA DIAMOND AKIHOJIWA IUNAJUA TENA KIJANA ALIVYO NA NYOTA

MADAME RITA NAEALIKWDA KUSHOW LOVE

MAMA DIAMOND AKIMCHEKI MWANAE HAAMINI MAMA WA WATU KWAMBA NDO HUYU HUYU CHIBU NILIYEMLEA TANDALE, ALIYEKUWA ANAOKOTA VYUMA CHAKAVU, ALIYEKUWA ANAUZA MITUMBA, ALIYEKUWA ANAPIGA PICHA ZA MITAANI, EH MAMA NDO HUYO HUYO MUNGU NI MWEMA UNAPOPITIA MAPITO UJUE NEEMA YAJA.
EEEHHH kwa wale ambao hatukuwepo eneo la tukio nadhani tumeburudika kidogo na kupata picha ya yaliyojiri si ndio,
JAMANI KWANI KUNA MTU KAIBIWAAAAA???????............TOMASSSSSS


















No comments: