Saturday, December 6, 2014

MTABIRI AWATABIRIA WEMA SEPETU NA DIAMOND HIVIIII....




UNAJIMU! Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Shehe Yahya amesema kuwa, penzi la mastaa wa Kibongo,Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ bado halijafika mwisho, watarudiana na kufunga ndoa
Akizungumzia penzi la wawili hao ambao siku chache zilizopita wameripotiwa kumwagana alisema, hali hiyo ni ya mpito tu haimaanishi kuwa hiyo ndiyo tamati ya mapenzi yao, sababu nyota zao zinategemeana japo ya Wema ina nguvu kubwa kuibeba ya Diamond
Msifikiri kwamba penzi lao ndiyo limefika mwisho, hakuna kitu kama hicho ni mara ngapi wameachana na kurudiana hata hili la sasa natabiri watarudiana,” alisema Malim








SASA WALE WALIONGILIA HUU UGOMVI HIVI HAWA WATU WATAKAPORUDIANA WATAWEKA WAPI SURA ZAO. HATA BILA KUWA MTABIRI INAJULIKANA WAZI KWAMBA HAWA WATARUDIANA JAMANI WATU WAKIGOMBANA HASA WAPENZI HAWATAKIWI KUINGILIWA, MAPENZI HAYAINGILIWI

No comments: