tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Friday, December 5, 2014
HIVI UNAJUA HOLLYWOOD WANAANZA KUSHOOT MOVIE GANI YA KUSISIMUA NA ILIYOKUWA INASUBIRIWA NA MASHABIKI DUNIANI KOTE? INGIA USOME
Movie ya JAMES BOND ambayo hii itakuwa ni ya title ya 24 inaanza kushotiwa next week, kama mnavyojua kwa sasa mtu anayecheza kama JAMES BOND ni muigizaji mwenye mvuto wa kibaba nae si mwingine bali ni DANIEL CRAIG, na movie hiyo itaitwa SPECTRE, si mnajua JAMES BOND ni title tu lakini movie lazima iwe na jina.
HAWA HAPA NDO WAIGIZAJI WATAKAOCHEZA KWENYE MOVIE YA JAMES BOND 24
MNYAMA MWENYEWE HUYU DANIEL CRAIG NDIO ANAYECHEZA KAMA JAMES BOND BABA HUYU MZEE LAKINI ANAMVUTO WA KIZEE YANI ANANOGA KUWA STARING, MAANA HANA LIKITAMBI.
NA HII HAPA CHINI NDIO NDINGA ITAKAYOTUMIKA KWENYE MOVIE HII MPYA HAPO DIRECTOR ANAIFUNUA.
EEHH MWALI KASHAFUNULIWA KAMA MNAVYOMUONA HAPO CHINI, MWALI ANAMACHO MADOGOO SIPATI PICHA ATAKAVYOCHAKAZWA NA DANIEL CRAIG MAANA JAMAA HUWA HAKOSEI..
OKAY......KUTOKA TANZANITEMOVIES BLOG NI MIMI RACHEL TUKUTANE BAADAE WEMA AU DIAMOND AKIFANYA CHOCHOTE MAANA BILA WEMA WATU HAMUINGII KUSOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment