Jana kupitia mtandao wa instagram mwanadada anayetumia jina la Kemmy ambaye yupo team Wema aliamua kutoa ya moyoni kwa kuandika kwamba kuna mwenzao anayetembea na Diamond halafu anajifanya kumpenda Wema, Kemmy alisema kwamba mwanadada anayetembea na Diamond kwa kisiri ni CHICHI SUPER WOMAN, huyu Chichi huwa ni shabiki sana wa Wema na Diamond na instagram anatumia jina hilo hilo la CHICHISUPERWOMAN, sasa ndo jana katuhumiwa kwamba anatembeaga na mwanamziki Diamond,
NILIPOONA HIYO POST NILIFANYA MAHOJIANO NA CHICHI AMBAYE ALISHANGAZWA SANA NA UVUMI HUO, ALISEMA KWANZA KABISA YEYE HAWEZI KUFANYA KITU KAMA HICHO KWANI ANAMUHESHIMU DIAMOND KAMA KAKA YAKE WA DAMU, NA DIAMOND PIA ANAMUHESHIMU MNO, NA PIA CHICHI ALISEMA KWAMBA YEYE ANAMPENDA SANA WEMA SEPETU HATA KABLA HAJAWAHI KUMWONA, HIVYO HAITAKAA ITOKEE AMFANYIE HIVYO KWANI ATAKUWA HANA MOYO WA UBINADAMU AKIFANYA HIVYO, PIA CHICHI ALISHANGAZWA NA UVUMI HUO NA KUSEMA KWAMBA INASIKITISHA SANA KUONA WATU AMBAO WANALENGO MOJA LA KUWA MASHABIKI WA WEMA HALAFU MWISHO WA SIKU WANACHUKIANA NA KUSAMBAZIANA MANENO YA MAJUNGU, CHIKU ALISEMA YEYE HAISHI KWA KUSIKILIZA MANENO, NA HATA ITOKEE WEMA AU DIAMOND WAKAMBADILIKIA YEYE HATA AACHA KUWAPENDA ATAENDELEA KUWAPENDA KWANI SHABIKI WA KWELI KAMWE HABADILIKI KAMA BENDERA KUFWATA UPEPO. chichi alimalizia kwa kusema, anashukuru sana kwa followers wake ambao wamekuwa wakimpa moyo sana , na pia anatamani siku moja Wema angeona ukweli wa wenye mapenzi kwake ni wakina nani na wanafki ni wakina nani na sikusikiliza maneno kama hayo ya uzushi, Chichi alisema haijalishi Wema atapelekewa maneno mabaya juu yake kiasi gani yeye ataendelea na moyo wake wa upendo na kamwe hata lipa baya kwa ubaya.
OKAY... HAYO NI MANENO YA CHICHISUPERWOMAN AMBAPO ALIKANUSHA UVUMI WA YEYE KUTEMBEA NA DIAMOND PLATNUMZ. kama kuna mwenye la ziada, email yangu ni rachelkayuni62@gmail.com
No comments:
Post a Comment