Hata mie kabla sija move on from baba Bhoke nilikuwaga nna hasira kama hizi, muda wote nataka mtukana au nimseme vibaya but nilivyokuwa happy na jamaa mwingine tu uwiii nikawa nae rafiki kabisa yani hasira ziliisha ghafla, na mpaka leo sina hata baya nalolikumbuka kuhusu yeye…. So its safe to say Diamond bado haja move on hata robo. Yani roho yote bado iko kwa Wema. Mtu una girlfriend wako kwanini bado una time ya kumrushia madongo ex wako???? Siku akiweza kumpotezea Wema completely ndo tutajua ka move on ila kwa haya madongo jamaa bado yupo deep in love……hahahaha
Hivi ni kwanini wanaume wasio na pesa ya ndefu huwa wanapenda lalamikia sana wanawake wasio tengeneza pesa zao wenyewe? jamani kama huna kiburi ya take care mwanamke si uachie wenye nazo?
Hata Biblia inasema Mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho lake….. Which means mie nakuzalia watoto wewe katoe jasho ulete chakula home tule ila siku hizi wanawake tuna fosiwaje kubeba zege kama madume???? mtukome bwana, kuzaa tuzae sie na kubeba zege tuwasaidie, EBOOOOO….Tufanye kazi kwa kupenda wenyewe sio kufosiwa wajameni
Kama huwezi kulea mwanamke piga kimya achia wenzio wanaoweza, malalamiko ya nini jamani???? Mitz mijinga kweli eti Zari hardworking woman sababu ya maduka yake anayoweka instagram, sasa si alikuwa na mume mwenye hela ndefu hata Wema alivyopata mwanaume mwenye pesa za kuchezea alifungua bonge la ofisi na kampuni na angekuwa na pesa zaidi labda angefungua hata burea d’ change,,,,Jamani ukiwa na mwanaume tajiri utaweza fungua chochote utakacho cha maana utavi maintain years later??? Sasa uko na mwanaume mtaji anakupa milioni 5 hivi unafungua kitu gani kwa mfano???? Saa nyingine tuwage tunafikiria? tunamsema sana mtoto wa watu wakati hatujui ya ndani…EMBU WOTE TUPIGE KIMYA JAMANI
Mnao linganisha success ya Wema na Zari ni wapuuzi kabisa, huyo Zari hata yeye alipewa kila kitu na mwanaume hakuvitolewa jasho, someni story ya maisha yake kwanza. Na mnachekesha mno huyo Zari ni mzee kama kina Mange hapa alafu mnalinganisha na kibinti hata hakijui kichefuchefu cha mimba tena 10yrs younger??? Hata Wema kabla hajafika age ya Zari labda atakuwa kapata mwanaume wa kumfungulia hiyo miduka na yeye tukumbuke kumsifia kuwa ni hardworking woman sio tuanze msema tena ooh kafunguliwa tu, mara kapewa tu
Yani watz wajinga jamani ukiona wanavyotukana watz wenzao kwenye page za foreigners huko instagram yani ni aibu , watz wote tunaonekana majinga matupu. Hivi mshaona waganda wanamfollow Diamond na kumwita shemeji sijui ujinga kwani??? kwanini nyie watz ndo mnapenda drama? Ndo maana watz sie umaskini hauwezi kutuisha na ndo maana ni maskini wamwisho duniani ni sababu ya ujinga, mtu siku nzima unaspend kutukana watu huwajui on instagram, wamebaki kutagiana, “shoga umepita huku”, “shoga njoo huku”, “shoga nyoko fyoko”, yani wako shameless, sasa hao wanatukana au kutagiana aembu omba bank statement zao, shingi 10 hawana…. bloody fool , in Linda award winning designer’s voice….lol
HAYO NDO MANENO YA MANGE KIMAMBI KWENDA KWA TEAM ZARI.....
No comments:
Post a Comment