Hivi majuzi marafikiwa Wema wamekuwa wakipost maneno yanayoashiria kwamba Wema kuna kitu kikubwa anafanya ambacho kitawashangaza watanzania, sasa kwa wambea kama sisi tunawaza kitakuwa ni nini, je itakuwa ni movie mpya au je ni biashara mpya au je anaenda kucheza movie nje, yani tunajiuliza hatupati majibu hembu tusubiri.
No comments:
Post a Comment