IDRIS
Hya jamani jana watu wetu wa nguvu wameipeperusha bendera ya Tanzania, kwanza kabisa Idris mshiriki wa big brother Africa kutoka Tanzania kashinda big brother, baada ya muda mfupi Diamond nae akashinda tuzo za Nigeria za future awards. basi Davido alionaje wivu, ikabidi aseme kwamba eti tumecheat kupata huo ushindi wa Idriss, na leo kaamka kaandika from o to 100 to quicly , yani mpaka sasa Davido haamini kwamba yule Diamond aliyemsaidia kampita kwenye tuzo mbalimbali,
No comments:
Post a Comment