Monday, December 8, 2014

MUIGIZAJI ROSE NDAUKA BAADA YA KUTEMANA NA MPENZI WAKE HIVI SASA NDOA YANUKIA



PETE YA UCHUMBA ALIYOIONYESHA ROSE NDAUKA.
Kupitia mtandao wa instagram juzi muigizaji mwenye mvuto wa haja Rose Ndauka alipost picha inayoonyesha kavaa pete ya uchumba, wengi wametafsiri kwamba Rose yuko mbioni kufunga ndoa.

No comments: