Wednesday, December 3, 2014

KWA WALE WANANDOA HII MOVIE INAWAHUSU

 





Hii movie ninaipenda mno maana inafurahisha na inaelimisha sana, inaitwa WHY DID I GET MARRIED, embu itafute ucheke na ujifunze, kwa wale wanandoa hii inawahusu mno, yani utapata mengi ya kujifunza, na kwa wale wenye mpango wa kuingia kwenye ndoa pia movie hii inawafaa sana maana utajifunza mengi. humu ndani dada wa Michael Jackson anayeitwa JANET JACKSON  naye yupo, pia mwanamziki mwenye smile ya ajabu anayeitwa JILL SCOT yupo nae. 

No comments: