Wednesday, December 3, 2014

EMBU USOME UJUMBE HUU WA KUSIKITISHA SANA KUTOKA KWA MUIGIZAJI WA NIGERIA KWENDA KWA MAREHEMU MUMEWE





HUYO NI MUIGIZA STELLA DAMASUS WA NIGERIA AMESHACHEZA MOVIE NYINGI KAMA MY LOVE ALIYOCHEZAGA NA RAMSEY NOUH NA NYININE NYINGI, ALIFIWA NA MUMEWE MWAKA 2004 , AKAACHWA MJANE AKIWA NA WATOTO WAWILI. NA HIYO HAPO JUU NDIO MSG ALIYOIANDIKA JANA JUU YA MAREHEMU MUMEWE.

No comments: