Friday, December 5, 2014

EXCLUSIIIIIVE....MKANDA WA NGONO UNAOMUONYESHA ZARI WA DIAMOND AKIFANYA NGONO WAVUJA...... NA HABARI IPO KWENYE FRONT PAGE ZA GAZETI UGANDA..

HILI NDO GAZETI LINALOONYESHA PICHA ZA ZARI AKINGONOKA NA EX BOYFRIEND WAKE.
PEMBENI NI MA MEEEN MNYAMA DIAMOND AKIWA KAMKUMBATIA ZARI NA HAPO KATI ZARI AKIJI KIM KARDASHIANISHA.
TOBAAAA. OUT OF WORDS

Kila tukiamka lazima ubuyu uibuke, sasa ubuyu wa leo ndo huo juu ya Zari mchumba wa Diamond kuvujishiwa sex tape yake aliyorecodigi akiwa na mpenzi wake wa zamani..

MI NAWAONEA HURUMA WANAE KWANI NI WAKUBWA NA WANAINGIA KWENYE MITANDAO, ZAIDI YA HAPO SIWEZI KUMUHUKUMU, KILA MTU NA STYLE YAKE YA MAISHA ALIYOCHAGUA, ila tu niwahase wadogo zetu wakibongo,  msilogwe kupiga au kurecord video ukiwa uchi eti kwa ajili ya boyfriend wako, ndugu huyo boyf sio malaika, siku mkigombana anairusha  hewani unakuwa kim kardashian, kwa hiyo hizi fashion nyingine ziacheni tu zipite jamani sio kila fashion ni ya kuigwa, kwanza mwanaume wa kweli anapenda binti mwenye maadili .


No comments: