Huyu ni dada yake wa kwanza kuzaliwa Kim kardashian anaitwa Kortney Kardashian , hivi majuzi amepiga picha hizo unazoziona za kwenye magazine, Kortney amesema kwamba haoni tatizo kupiga picha hizo kwani kwake yeye siku zote hujivunia mwili wake kama mwanadamu na pia akiwaga mjamzito hujihizi vizuro mno na kujivunia mno mwili wake.
SIKU HIZI KILA ANAYEPIGA PICHA ZA MAGAZINE LAZIMA AWE UCHI ........
No comments:
Post a Comment