Tuesday, September 2, 2014

WEMA SEPETU USUPER STAR KWAKE MWISHO KWENYE TV AKIWA NDANI KWAKE YEYE NI BINTI WA KIAFRIKA.




MAHABATi! Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ amedhihirisha kuwa yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani baada ya kusema anajitahidi kila siku katika suala la mapishi ili asimlishe viporo mwandani wake, Nasibu Abdul, ‘Diamond’
Akipiga domo na paparazi wetu, Wema alisema kama mwanamke anajua thamani ya mwanaume siku zote hata kama ‘baby’ wake atarudi usiku, lazima aingie jikoni kupika na haweki chakula kwenye ‘hot pot’.
“Siku zote si kwamba najisifia ila kwa jikoni ndiyo mwenyewe sasa kwa nini nipike chakula halafu niweke kwenye hot pot? Kwangu siruhusu kabisa itokee,” alisema Wema





MADA ILIYOPITA YA KUHUSU MASUPERSTAR NA NDOA NAONA WEMA HAIMFAI MAANA YEYE ANAJUA VYEMA WAJIBU WAKE KAMA MSCHANA WA KIAFRIKA NA KAMA MNAVYOONA YALIYOANDIKWA NA HATA DIAMOND PIA HUWA ANASEMA WEMA KWA MAPISHI NDO MWENYEWE KWA HYO NAONA WEMA USUPERSTAR MWISHO NYUMBANI, AKIWA NDANI KWAKE YEYE NI MSCHANA WA KIAFRIKA.

1 comment:

Prude said...

Kazi ipo, mimi wanaume wanikome, ni viporo tu kwenda mbele, hataki aingie jikoni,kama mimi naingia jikoni, hata yeye anapaswa kuingia kupika, maisha kusaidiana!