Monday, September 15, 2014

MNAMKUMBUKA HUYU?......


Anaitwa REGINA ASKIA, alikua ni muigizaji mahili wa Nigeria, Enzi hizo za miaka ya 90 na elf 2 mwanzoni, moja kati ya movie zilizompatiaga umaarufu ni ile aliyoigiza akamloga mume wa mtu AKAMUWEKA KWENYE CHUPA..si mnaikumbuka? movie ilikua inaitwa SUICIDE MISSION na movie nyingine aliyocheza ilikuwaga inaitwa THE PRESDENT DAUGHTER.

REGINA ASKIA


REGINA AKIWA NA MUMEWE

HAO NI WATOTO WA REGINA

Regina alizaliwa mwaka 67, na alianza kuwa maarufu akiwa miss Nigeria na baadae alifanya modelling then ndo akaingia kwenye kuigiza, hivi sasa Regina ameolewa huko Marekani na ni mama wa watoto watatu, na pia hafanyi tena kazi ya kuigiza bali ni nesi huko Marekani, Regina aliwahi kukaririwa akisema anatamani angerudi kwenye fani yake kwani uigizaji hivi sasa unalipa sana Nigeria na kila anavyowaona wakina Genevieve anatamani angerudi tena hayo maisha ya ustar.







No comments: