tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Tuesday, September 16, 2014
HONEYMOON YA ANGELINA JOLIE NA BRAD PITT EMBU INGIA UONE MAPICHA.
Angelina na mumewe walifunga ndoa kama week tatu zilizopita, ila hawakwenda honeymoon kwasababu walikua MALI wanashoot movie yao ya pamoja wanayocheza kama mume na mke itakayoitwa BY THE SEA, hvi majuzi wanandoa hao waliamua kwenda honeymoon lakini sio yao peke yao ni wao pamoja na watoto wao wote sita kama mnavyowaona kwenye mapicha hapo juu, walikodi boat yao wenyewe na kuanza kula raha, mara nyingi mastar wa Hollywood wanapenda kukodi boat ili kukwepa camera za mapaparazzi, lakini hawakwepi kitu kwani na mapaparazzi na wenyewe wanakodi mpaka ndege ili tu kupata picha zao, MI NINGEKUA WAO KISA CHA KUJIBANA KWENYE BOAT ETI NAOGOPA PAPARAZZI, MTU HELA YA KUENJOY YANGU NIKAE NAOGOPA YANI NISHINDWE KWENDA KWENYE MAENEO MAZURI MAZURI YALE YANAYOONEKANAGA KWENYE TV AU KWENYE NCHI MBALIMBALI NIKAE KWENYE BOAT KATIKATI YA MAJI KAMA SAMAKI HELL NAA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment