Hivi majuzi aliyekua mwenyekiti wa club ya BONGO MOVIES Steve Nyerere alijiuzuru nafasi yake, lakini siku moja baadae habari zikasambaa kwamba kumbe Steve hakujiudhuru kwa kutaka bali walimvua madaraka kwasababu ilionekana amejipatia fedha nyingi kwa udanganyifu kwa kupitia jina la club hiyo, mpaka sasa hatujui ukweli ni upi ila wao wenyewe wanaujua ukweli halisi.
SWALI LANGU NI HILI......... kila siku hii club ya bongo movies inamalalamiko, usiposikia hili basi litaibuka hili kwa kifupi haiwezi kupita miezi sita bila jambo kuibuka, sasa je HIVI KUNA ULAZIMA GANI WA KUWA NA HII CLUB? KWANINI WATU WOTE WASIWE KWENYE SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA NA IKAISHIA HAPO?
No comments:
Post a Comment