Wednesday, September 10, 2014

LUCY KOMBA AUNGANA NA WAKINA ANGELINA JOLIE NA GABRIELA UNION




Muigizaji Lucy Komba akiwa na mumewe ambapo walikua wameshatoka kufunga ndoa na wanaelekea kwenye kisiwa cha Mbudya kilichopo mbezi beach kwa ajili ya kufurahia ndoa yao na inasemekana baada ya hapo walikwenda kula chakula cha usiku na watoto yatima pamoja na ndugu , jamaa na marafiki,
HONGERA SANA LUCY UNAONEKANA UNAFURAHA SANA NA NDOA YAKO NIMEIPENDA KWASABABU JINSI ILIVYOANDALIWA HAINA MASHAMSHAM YA KIJINGA NA NIMEPENDA ZAIDI KUWAKUMBUKA WATOTO YATIMA KWA HILI HAKIKA MUNGU ATAISIMAMIA NDOA YAKO DAIMA, WENGI TUNAJISAHAU SIKU YA NDOA NDO UTAKUTA WATU WANAALIKA WATU WASIO NA NIDHAMU NA WANASHEREHEKEA KI UFUSKA KITU AMBACHO KINATIA TU MIKOSI KWENYE NDOA,   Lucy aliwahi kukaririwa kwamba akifunga ndoa wataenda kuishi DENMARK na mpenzi wake kwani mpenzi wake ni raia wa huko.

1 comment:

Anonymous said...

hongera sana Lucy