tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Monday, September 15, 2014
HII NDIO HABARI YA MUJNI, NI JUU YA AUNT EZEKIEL NA MCHEZA SHOW WA DIAMOND IYOBO.
Habari ya mujini hvi sasa ni juu ya penzi la Aunt Ezekiel na mcheza shoo wa Diamond anayeitwa Iyobo, inasemekana wawili hao ni wapenzi na hivi majuzi walikutwa wakiagana air port ambapo Aunt alikua anakwenda Marekani, wawili hawa hapo mwnzo walikua wakikana juu la penzi lao hasa ikizingatiwa Aunt ni mke wa mtu na Iyob ni mume wa mtu lakini hivi sasa naona wameamua kufanya kweli,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment