Huyu ni mume wa zamani wa muigizaji DIDA anayeitwa EZDEN, toka Ezden na Dida watengani kumekua na fununu kwamba Ezden ameanzisha mahusiano na mwanadada mjasiriamali mwenye vituko vingi na anayependwa sana na watu FROLA LYIMO A.K.A MBUTA NANGA, fununu hizo zimezidi kupamba moto baada ya jana MBUTA NANGA kuachia video inayomuonyesha akicheza wimbo wa RAY C huku akiwa mevalia chupi na top zilizoandikwa I LOVE EZDEN, niliamua kumtafuta EZDEN na kumuuliza kama ni kweli anamahusiano na MBUTA NANGA na jibu lake lilikua ni moja tu ( HAKUNA KITU KAMA HICHO).yani hawana mahusiano yoyote ya kimapenzi na MBUTA NANGA,
unaweza ukaburudika kwa kutazama video nzuri inayomuonyesha mwanadada MBUTA NANGA akicheza huku akiwa na nguo zilizoandikwa I LOVE EZDEN,
No comments:
Post a Comment