HAPA MEGAN GOOD YUKO NA MUMEWE BABA MCHUNGAJI, yani huyo pastor ni kama tusikie RAQUEE AU SLIM OMARY mapastor walivyo mahandsome kanisa mbona litajaa.
Huyu ni muigizaji wa Hollywood anaitwa MEGAN GOOD, moja ya movie aliyocheza ni THINK LIKE A MAN, mrembo huyu anaumri wa miaka 31 hivi sasa na ni mke wa MCHUNGAJI, walah wamama wachungaji wa bongo wangekua hivi ingekua NISHIDEEERRR. huwa napenda sana kumfananisha MEGAN GOOD na JOKETI MWEGELO, sio kisura bali style zao huwa nahisi wanaendana sana na umbo pia na rangi ya mwili.
BASI MEGAN GOOD NDIO DIVA WETU WA JUMAPILI HII........the real DIVA not fekerooo.
No comments:
Post a Comment