HII NDIO CLINIC ALIYOFANYIWA UPASUAJI JOAN RIVER HIVI SASA IKO CHINI YA UCHUNGUZI MAALUM
HAPA NDIPO SHUGHULI ZA MSIBA ZITAKAPOFANYIKA, INASEMEKANA KWAMBA MSIBA UTAHUDHURIWA NA WATU WALIOPEWA MIALIKO TU, NA KUTAKUA NA RED CARPET PIA,NA BAADHI YA MASTAR WAKUBWA DUNIANI WATAKUWEPO
HUYU MWANAMKE NI MELLISA RIVER NDO MTOTO PEKEE WA JOAN RIVER
HUYU ANAYESHUKA KWENYE GARI NI MJUKUU WA JOAN RIVER YANI MAMA YAKE NDO HUYO KWENYE PICHA YA HAPO JUU
MJUKUU WA JOAN RIVER ANAITWA COOPER
MTANGAZAJI MWENZAKE NA MAREHEMU JOAN ANAYEITWA GIULIANA RANCIC NA MUMEWE BILL RANCIC WAKIWA WANAINGIA KWENYE APARTMENT YA MAREHEMU ILIYOPO NEW YORK KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MSIBA
HAPA CHINI NI MTANGAZAJI PIA WA FASHION POLICE KELLY AKIWASILI NEW YORK TAYARI KWA MAZISHI YA JOAN.
Joan atakumbukwa sana jamani, na inasikitisha kwasababu pamoja na umri wake mkubwa bado alikua na nguvu kwa hiyo bado tunaweza kusema kaondoka mapema, Joan alishaachaga husia kwamba akifa anataka azikwe kama alivyokua akiishi, yani azikwe ki star, msiba wake mastar wajae, kuwe na mared carpet, yani mambo yawe kama wako kwenye Oscar hivi au grammy, JOAN ATAAGWA LEO JUMAPILI NAFIKIRI NAKUZIKWA PIA, AMEACHA MTOTO MMOJA WA KIKE ANAYEITWA MELLISA NA MJUKUU MMOJA WA KIUME ANAYEITWA COOPER.
No comments:
Post a Comment