Saturday, September 21, 2013

WAPENZI WA MOVIE ZA KIHINDI KAENI MKAO WA KULA

Ile movie ya Dhoom 3 iliyokua inasubiriwa kwa hamu toka mwaka jana sasa ipo tayari na inategemewa kutoka rasmi December 20 mwaka huu.
Movie hii ina part 1 na 2 na part three ndo inatoka mwezi wa kumi na mbili. Story ya hii movie imeandikwa na Vijay Krishna na ndio director pia, Producer ni Aditya Chopra.
Humo ndani ya Dhoom three utamkuta Abhishek Batchan na Uday Chopra ambao wenyewe watacheza kama mapolice na pia mwanadada Katrina Kaif na Aamir Khan watakuwepo.
 Movie hii ya Dhoom 3 ilitarajiwa kutoka mwaka jana lakini kutokana na vikwazo vya hapa na pale ikachelewa na sasa ipo tayari kutoka na inategemewa kufanya vizuri zaidi ya part one na two.


 
ABHISHEK BATCHAN


                                                               UDAY CHOPRA
 
KATRINA KAIF

No comments: