VAN VICKER
inapendeza kwakweli hasa ukiangalia si mtanzania lakini anaitangaza nchi yetu kupitia jezi ya Taifa stars.
Hapa chini ni picha ya mdau mzuri sana wa movie za Bongo Biko Molteni.
BIKO MOLTENI
Biko Molteni ni kijana mwenye asili ya Italy, na pia ni director na producer wa movie mtarajiwa,
Kinachonifurahisha ni jinsi wadau hawa wa movie ambao sio watanzania lakini wanaonyesha uzalendo kwa nchi yetu.
No comments:
Post a Comment