Monday, September 16, 2013

MSANII MWENYE MVUTO WA KIAFRICA WA NIGERIA INI EDO AZUSHIWA KUA NA UJAUZITO

 
Picha hii ndo iliyofanya watu wakaanza kumzushia Ini ya kwamba ni mjamzito, jinsi mumewe Philip alivyolishika tumbo la ini imeonekana kama vile anamimba, lakini Ini kupitia mtandao wa twitter amekanusha vikali madai hayo.

No comments: