Wednesday, September 18, 2013

FROLA MVUNGI NA H. BABA WAMEFANIKIWA KUPATA MTOTO WAO WA KWANZA


 
 
frola mvungi ni msanii wa filamu na h baba ni mwanamziki wa bongo flavour lakini pia ni msanii wa filamu, wawili hao walianza mapenzi yao baada ya h baba kuachana na Irine Uwoya, kama ilivyokua kua kawaida ya mastaa huwa hawafiki mbali kwenye mahusiano yao lakini ni tofauti kwao kwani mwaka huu wawili hao walifunga ndoa ya kiislam huku Frola akiwa mjamzito na hivi jana wamefanikiwa kupata motto wao wa kwanza waliempa jina la TANZANITE.

No comments: