Tuesday, September 17, 2013

miley cyrus na liam hermsworth wameachana



Miley na Liam walianza mapenzi yao miaka miwili iliyopita na kufikia hatua ya kuchumbiana lakini hivi karibuni Liam ameamua ku call it off baada ya kuhofia tabia mbaya alizozianzisha Miley hivi karibuni kuweza kumuharibia sifa yake katika jamii. Miley ambae alijipatia umaarufu mkubwa katika maigizo ya desney akiwa anaigiza kama hanna Montana kipindi yupo mdogo hivi sasa amejikita zaidi katika uimbaji, Miley mwenye umri wa miaka 20 anaonekana kua na tabia zisizopendeza katika jamii na hasa ukizingatia ni binti aliyekua mbele ya jamii hivyo kubadilika kwake kitabia kumewakera wengi. Liam ni kijana anayekuja kwa kasi kwenye movie huko Hollywood na ni kijana aiyependa skendo kabisa.

No comments: