Saturday, September 21, 2013

GENEVIEVE NNAJI ASHUKIWA KUWA NA UJAUZITO

Msanii huyu wa movie wa Nigeria amehisiwa kuwa na ujauzito kutokana na hii picha inayomuonyesha akiwa na tumbo kubwa. lakini picha zake za hivi karibuni zilikua zikimuonyesha kuwa na tumbo dogo hivyo kuwafanya watu kujiuliza ni ujauzito gani utakaokua kwa siku chache tu? kutokana na hilo wengi wamehisi ni picha tu au aina ya nguo ndio imemfanya Geneveive kuonekana mjamzito.

No comments: