RUKKY SANDA
Movie hii inahusu maisha ya ndoa na migogoro yake, yani kwa ujumla imeelezea mapenzi hasa kwa wanandoa. Ndani ya movie kali kuna mastar wanaotambulika Africa kama Ini Edo, Ramsey Noah na Monalisa Chinda.
picha hii inamuonyesha Rukky Sanda akiwa na Ini Edo wakiact hii movie
na hii picha inamuonyesha Ramsey Noah akiwa anaigiza hiyo movie.
MONALISA CHINDA
Monalisa ameshacheza movie nyingi na ni maarufu kwa hyo kucheza kwake kwenye hii movie kutaifanya hii movie iwe na msisimko.
RAMSEY NOAH NA INI EDO
Hawa ndo wenyewe hawa yani ukiwakuta tu kwenye movie kaa uiangalie lazima hiyo movie itakua bomba, sasa kwenye hii movie watakuwepo, Ramsey nae umri unamtupa mkono lakini anajitahidi kuaendana na wakati unaweza kufikiri anamiaka 30, na Ini Edo nae ndo sina cha kusema kwasababu nampenda kupita maelezo.
No comments:
Post a Comment