PRIYANKA CHOPRA NA PITBULL WAKIFANYA SHOOTING YA WIMBO WAO MPYA.
Mwanadada Priyanka Chopra ndie muigizaji wa kike wa Bollywood anayeongoza kwa kulipwa hela nyingi kwenye kazi yake ya uigizaji, licha ya kua muigizaji pia ameamua kujikita katika uimbaji ambapo ameamua kwenda mbali zaidi ili kupanua soko lake la mziki duniani kwa kumshirikisha mwanamziki wa kimataifa Pitbull wa nchini Marekani.
Pitbull amekua akisifika sana na pia nyimbo nyingi alizoshirikishwa zinatamba sana duniani, Pitbull ameshaimba na Janefer Lopez pamoja na wanamziki wengine wengi wa Marekani.
No comments:
Post a Comment