Wednesday, September 18, 2013

GENEVEIVE NNAJI ANATARAJIWA KUFUNGA NDOA MWISHO MWA MWAKA HUU

msanii wa maigizo nchini Nigeria genevieve nnaji anatarajia kufunga ndoa na mfanyabiashara maarufu wa nchini Ghana MATHEW MENSAH,
 
 
Geneveive ambaye ni mama wa binti wa miaka kumi na tano inasemekana alimpata motto wake huyo wa kwanza akiwa na miaka 14 ambapo alipewa mimba na mwalimu wake.
 
HUYU NI BINTI WA GENEVEIVE NNAJI
 
Hata hivyo kabla ya kua na uhusiano na huyu Mathew, jeneveive ameshakua na uhusiano na muimbaji mziki maarufu wa nchi hiyo Dibanj
 
HUYU NI DIBANJ THE COCO MASTER
 
kipindi Geneveive anaanza maigizo alishirikiana sana na msanii Ramsey noah na kucheza movie nyingi pamoja na kuwafanya watu waamini kwamba wawili hao ni wapenzi, na hata walipokanusha watu waliwasifia kwamba wanapendeza kama wangekua wapenzi. na Ramsey amekua akiyaweka maisha yake binafsi kua siri sana kiasi kwamba wengi hawajui ramsey kama anamke au la, au kama ana girl friend au la.
 
Huyu ndie Ramsey Noah ambaye pia alishawahi kuja Tanzania na kucheza movie na marehemu Kanumba.
 Ramsey ameoa na anawatoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume.
 
 
PICHA HII NI YA RAMSEY NA FAMILIA YAKE.
 
 

No comments: