Tuesday, September 17, 2013

NIGERIAN ACTRESS MONALISA CHINDA AWAPA MISAADA WAFUNGWA.

 
Monalisa aliamua kutembelea gereza la wanawake la nchini Nigeria na kutoa misaada ya vitu mbalimbali ambavyo wanawake wanahitaji, hatua hii imekuja siku kadhaa kufanya sherehe kubwa ya siku yake ya kuzaliwa iliyohudhuriwa na mastar mbalimbali wa nchini humo.

No comments: