Thursday, September 19, 2013

MASTAR WA BOLLYWOOD WAVAA KIARABU WALIPOKWENDA DUBAI KU SHOOT MOVIE

PICHA HII INAMUONYESHA STAR NAMBA MOJA BOLLYWOOD SHAHRUK KHAN PAMOJA NA DEEPIKA.
 
yani hapo unaweza ukakosea ukasema Shuhruk Khan mwarabu kabisa.
 
 
 
hapo yupo Deepika, Abhishek Batchan, Shuhruk khan na wengine ni madirector wa hiyo movie.

No comments: