
Shilole ni muigizaji ambaye hivi sasa anafanya na mziki pia, wimbo wake mpya unaitwa NACHUNA BUZI, naskia alihojiwa kwenye radio moja hivi akasema huo wimbo unamuhusu sana, sasa buzi la nini wakati unajituma na unapata hela yako ya halali, kweli mjini kuna mambo.
No comments:
Post a Comment