Jionee mtazamaji, hawa walikua wake wenza kitambo kidogo tu, sasa hivi yameisha wamekua marafiki tena, kumbuka kwamba hawa upinzani wao ulianzia wakati wanagombania u miss Tanzania, na Wema ndo aliibuka kidedea akawa miss Tanzania mwaka 2006 na kwa mwanaume Wema tena kaibuka kidedea kawa mrs Diamond.
No comments:
Post a Comment