Tuesday, February 4, 2014

MASTAR WA MOVIE HOLLYWOOD KWA PAMOJA.

Mastar hawa wa movie waliovuma sana wamewekwa kwenye magazine ya VANITY FAIR na hizi ni baadhi ya picha za magazine hiyo.


   huyu mwenye shati jeupe ni super super handsome IDRIS ELBA, kacheza MANDELA LONG WALK TO FREEDOM, SOMETIMES IN APRAL ile inayohusu vita ya Rwanda. NAMPENDA SANA HUYU JAMAA.



My black queen Lupita Nyongo, Wema kaanza kufuata nyayo za huyu dada kwenye swala Zima la rangi ngozi.















na hii ndio cover ya mwisho, kama mnavyomuona Mr handsome Idris Elba kambeba the queen of smile Julia Robert, bila kumsahau kijana Chiwetel Ojiofor kwa chini hapo.

No comments: