Saturday, February 1, 2014

JA RULE, ADRIANE BAILON NDANI YA HII MOVIE






Hii video ni vipande vya movie inayoitwa IM IN LOVE WITH A CHURCH GIRL, yani hii movie jamani ni nzuri sana, inamaadili, yani kwakweli ukiangalia lazima uirudie, Adriane Bailon ambaye kacheza kama church girl, alikuwaga mwanamziki wa kundi la SW3 miaka ya elfu mbili mwanzoni, na pia alishawahi kua na uhusiano na kaka yake Kim Kardashian anayeitwa ROBERT KARDASHIAN, na Ja rule wengi mnamjua kama mwanamziki lakini hapa kakamua vilivyo.

No comments: