Saturday, February 1, 2014

OPRAY WINFREY, MARIA CAREY, CUBA GOODING NA TERENCE HOWARD NDANI YA MOVIE MOJA



Hii movie inaitwa THE BATLER, ndani ya movie hii kuna mastar kibao, movie inahusu mambo ya utumwa huko Marekani, kuanzia wamarekani weusi walivyokua watumwa mpaka walivyoanza kupigania uhuru wao na mpaka sasa jinsi walivyoweza kumchagua mwafrika wa kwanza kuwa rais wao. ni movie nzuri sana to be honest.


No comments: