huyo mwenye miwani na suruali nyeusi ndio STEVE NYERERE
eti inasemekana kwamba muigizaji LULU na STEVE NYERERE wanaukaribu sana, chanzo kikiwa ni kwamba, eti Steve ni kuwadi wa Lulu, eti ndie anayemuunganisha Lulu kwa mabwana.
SI MANENO YANGU NI YA GAZETI TU.
No comments:
Post a Comment