Sunday, January 4, 2015

VANESA MDEE NA MWANAMZIKI JUX NDANI YA PENZI ZITO..





Baada ya watu wengi kuhisi Vanesa Mdee mara yuko na Millard Ayo, mara yuko na Ommy Dimpos sasa uvumi umekwisha kwani Vanesa Mdee na mwanamziki mwenzake Jux nao hivi sasa ni wapenzi, na wamekuwa wakitupia picha mbalimbali za mahaba nilipue kama mnavyoziona.

No comments: