Thursday, January 29, 2015

INGIA UMTAZAME MWANAMZIKI NAZIZI WA KENYA ALIVYOPUNGUA MWILI WOTE




 Yani Naziz enzi zake alikuwa msela flani hivi lakini sasa hv ni bonge la sister duu.
 Nazizi akiwa na mwanae

Huyo ni mwanamziki wa kenya aliyekuwaga kwenye kundi la necessary noise Nazizi wote mnaomjua nadhanimnakumbuka alivyokuwaga bonge well hivi sasa naziz kafanya diet na mazoezi ya nguvu kapungua kama mnavyomuona kwenye picha. Na mimi naanza kesho ubonge mwisho chalinze mwenzangu

No comments: