tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Wednesday, January 21, 2015
INASEMEKANA HICHI NDO KILICHOTOKEA KATI YA JACKLINE WOLPER NA COCAKOLA.
Katika pitapita zangu eti nimesikia kwamba muigizaji mrembo Jackline Wolper amekayaa kupiga picha na LE KOPOZ la cocakola mpaka wamlipe. Hivi karibuni kampuny ya vinywaji vya cocakola waliamua kutengeneza soda zenye majina ya watu maarufu na kuwagawia lama zawadi. Kila msanii alipiga picha na le kopoz kwa furaha ya kuona jona lake limeandikwa lakini kwa Wolper hali ilikuwa tofauti. Mwenzangu hata ingekuwa mchaga mie ningedai changu maana hilo ni tangazo ati wakina kim ksrdashisn wanalipwa mamilioni kwa kupiga picha na bidhaa fulani kwa nini mi nipige bure. Ni mawazo tu ola kila mtu anauhuru wa kufanya.atakacho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment