Wednesday, January 28, 2015

SHILOLE AWAOMBA RADHI MASHABIKI

Mwanamziki muigiza shilole juzi inasemekana alimpa kisago kitakatifu boyf wake ambaye ni serengeti boy Nuhu mziwanda. Haikufahamika chanzo cha ugomvi ila tu watu hawakupendezwa kuona shilole anampiga kijana wa watu mbele ya kadamnasi.

No comments: