Sunday, January 18, 2015

MUHESHIMIWA EMMANUEL NCHIMBI AUNGANA NA RAIS KIKWETE KATIKA KUMPPNGEZA DIAMOND PLATNUMZ

Wote tunajua jinsi mwanamziki bei mbaya Africa mashariki nzima  ma nigga Diamond alivyo na bidii kwenye kazi yake na jinsi anavyoipeperusha bendera ya Tanzania duniani. Wote tunajua jinsi rais wetu kipenzi cha watu Kikwete anavyoukubali mchango wa Diamond katika kuitangaza nchi yetu. BASI MUHESHIMIWA EMMANUEL NCHIMBI NAE AMEIKUBALI KAZI YA DIAMOND NA KUMPONGEZA KAMA MNAVYOONA HAPO KWENYE PICHA.          

No comments: