Hivi ndivyo ilivyokuwa nyumbani kwa Sintah juzi alipotembelewa na Zari wa Diamond, eeeehhh najua mtajiuliza Zari alikuja lini, ni hivi Zari na Diamond wlivyotoka Rwanda walikuja moja kwa moja Bongo na kupumzika siku tatu kasha Zari akarudi kwke na Diamond kaenda NIGERIA ambapo huko anakwenda kuperfom kwenye bonge la show .
No comments:
Post a Comment