tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Tuesday, January 20, 2015
MUIGIZAJI WA NIGERIA INI EDO AFUATA NYAYO ZA ZARI WA DIAMOND.
Kama mnavyoona kwenye picha huyo ni mwanadada Ini Edo muigiza bei mbaya wa Nigeria ambapo yuko na kiserengeti boy chake wakiwa ndani ya mahaba nilipue kama boko haram.. ini ambae amejinyakulia kiserengeti kama ilivyo kwa Zari alivyojinyakulia serengetiwake . Ini nae pia aliolewa na kudumu kwenye ndoa kwa miaka mitano na mwaka jana mwishoni ndoa hiyo Iilifika ukibgoni. Baada ya picha hizi kuvuja watu wengi wamesema inawezekana mwanadada huyu alianza kusaliti ndoa yake kabla hata ya talaka kwani ni mapema mno kwa yeye kuwa na mtu mpya. Lakini pia inasemekana mumewe pia hivi sasa yuko kwenye mahaba mazito na mwanamke mwingine na ameshatangaza ndoa. Hii itakuwa ndoa ya tatu kwa mwanaume huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment