Yani unaambiwa jana Diamond alitembelea ofisi za tigo ikiwa ni katika matayarisho ya show kubwa ya tigo kiboko yao itakayojumuisha wanamziki wengi nchini. Kimbembe kilikuja baada ya Diamond kuingia tu ndani ya ofisi hizo wafanyakazi wote walitoka kama mnavyowaona hapo kwenye picha.
No comments:
Post a Comment