Tuesday, January 27, 2015

GAZETI LA MTANZANIA LAMUOMBA RADHI WEMA SEPETU

Gazeti la mtanzania la week iliyopita liliandika habari ya kwamba muigizaji Wema Sepetu kamshtaki aliyekuwa mpenzi wake Diamond kwamba anamdai.sh million kumi. Fedha hizo zikiwa si za Wema bali ni za taasisi ya mkopo ya vikoba. Eti diamobd alimkopea Wema. Anywa hyo story haikuwa ya kweli na gazeti limeomba radhi.ila kila mtu alikuwa anajiuliza kulikoni Diamond ashindwe kulipa million kumi wakati show yame moja ni zaidi ya million kumi.

No comments: